Tenzi za Rohoni mpya 161 logo Tenzi za Rohoni mpya 161

Tenzi za Rohoni mpya 161

by Londo Apps

🗂️ Books & Reference

🆓 free

4.9/5 ( 575+ reviews)
Android application Tenzi za Rohoni mpya 161 screenshort

Features Tenzi za Rohoni mpya 161

App hii inakuwezesha kupata nyimbo za injili na tenzi za rohini mpya 2019 kwenye simu yako kwa urahisi muda wowote na mahali popote.Tenzi za Rohoni app ina nyimbo za dini 161 kutoka kwenye kitabu cha nyimbo za dini cha Tenzi za Rohoni toleo jipya.
Huna haja ya kubeba kitabu cha Tenzi za Rohoni au nyimbo za dini.Imba kufuata ala za nyimbo ambazo unaweza kusikiliza pindi unapoimba bila kuwa na intaneti (Offline)Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.Wakolosai 3:16FEATURES
★ Tenzi za Rohoni 161 za kumuimbia na kumsifu Bwana kwa nyimbo za dini.
★ Ala za tenzi bila intaneti (Offline)
★ Pata tenzi kwa urahisi kwa kutafuta kutoka kwenye orodha ya tenzi.
★ Tafuta neno lolote kwenye tenzi zote
★ Unaweza kuweka nyimbo unazizipenda kwenye orodha ya nyimbo za injili au nyimbo za dini uzipendazo
★ Kuongeza ukubwa wa maandishi katika tenzi za rohoni mpya
★ Kuchagua aina ya fonti za aya
★ Kupanga orodha ya tenzi au nyimbo za injili kwa kufuata alfabeti

Secure & Private

Your data is protected with industry-leading security protocols.

24/7 Support

Our dedicated support team is always ready to help you.

Personalization

Customize the app to match your preferences and workflow.

Screenshots

See the Tenzi za Rohoni mpya 161 in Action

Tenzi za Rohoni mpya 161 Screen 1
Tenzi za Rohoni mpya 161 Screen 2
Tenzi za Rohoni mpya 161 Screen 3
Tenzi za Rohoni mpya 161 Screen 4

Get the App Today

Download on Google Play

Available for Android 8.0 and above